Mahusiano yanahitaji mambo makuu 8 ambayo ni mhimu sana ili yaweze
kudumu, na kuwa bora zaidi. Yafuatayo ni Mambo 8 mhimu katika kujenga mahusiano bora;
Mambo nane mhimu ili uwe na mahusiano
mazuri:
- Upendoviungo mhimu ili uweze kuwa na mahusiono bora na yakudumu
- Tumaini
- Uaminifu
- kuthaminiana/ kujaliana
- kusaidiana
- Tahadhari
- Ukweli/Uwazi
- Kuelewana
"Ikiwa
utazingatia mambo hayo hapo juu,
utaimarisha uhusiano wako zaidi kuliko mwanzo "
No comments:
Post a Comment