Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017 - MAARIFA

Breaking

Karibu katika blog ya mariffa kuweza kutambua Ujasiliamali na kujikwamua kiuchumi ahsante

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 9 June 2017

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017


Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na wale waliochaguliwa katika vyuo vya ufundi kwa mwaka wa masomo 2017/18.

Tumia namba ya shule, jina la mwanafunzi au shule atokayo kurahisisha kupata shule aliyochaguliwa mwanafunzi.
Bonyeza hapa kuona majina hayo: Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Kwanza 2017




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here